Katika shambulio hili la kinyama, makumi ya watu, wakiwemo watoto na wahamiaji wa Kiafrika, wameuawa kikatili
Mashambulizi haya ya kijeshi ya Marekani dhidi ya raia wasio na hatia, yanakiuka misingi ya sheria za kimataifa na haki za binadamu, na yanaonyesha wazi dharau ya Marekani kwa maisha ya raia wasio na hatia na nia yao ya kuendeleza mateso dhidi ya watu wa Yemen. Dunia inashuhudia kimya kisichoelezeka mbele ya jinai hizi zinazochafua dhamiri ya ubinadamu.Taarifa zaidi kuhusu idadi kamili ya vifo na majeruhi bado zinaendelea kukusanywa.













Your Comment